Mario Puzo Collection...!!!!!!

Mario Puzo Collection...!!!!!!

All these novels compiled in a single archive file, please enjoy:
1. Fools Die
2. Omerta
3. The Dark Arena
4. The Fourth K
5. The Godfather
6. The Last Don
7. The Sicilian
mbona kuna password mkuu
 
Mkuu Don tuwekee basi hiyo password tuziinjoi hizo novo kama ukivyokusudia!
 
Ooh sorry wakuu nilisahau kuandika hapo, password ni: lucchese
 
Thanks Mkuu Donluuchese
 
Last edited by a moderator:
Wakuu mimi kwa updande wangu inakata katikati hai-dowload ikaisha (it hardly gets past 582KB) napata message kwamba 'download complete',then nikifungua kilichopatikana naweka password but afterwards what I get ni empty! Am I the only one encountering this problem?

Please Donluuchese njoo u-clarify hapa
 
Wakuu mliopata matatizo mmetumia devices gani ku download? Maana so far sijasikia matatizo kwa wengine walioshusha wakuu!
 
nahisi labda ndio maana inakataa, angalia free space ya simu yako na pia je ina uwezo waku extract archive files?
 
Back
Top Bottom