BIG BROTHER ALEX
JF-Expert Member
- Sep 24, 2025
- 1,293
- 2,265
Baada ya nyimbo ya Mario kufanya vizuri kwa kigezo eti wamemsamehe Gen Z, pitapita raia wakashtukia mchezo mbona namba zinakimbia, baada ya kuangalia kwenye sehemu ya views namba zimekosewa kuandikwa computer haidanganyi, jamaa anajitekenya na kucheka mwenyewe.
Wale si watu halisi zile kama si robots basi Kuna mchezo kacheza, mana sehemu ya views imekosewa kuandikwa namba haziandikwi vile hata mtoto wa darasa la kwanza ange tambua kosa, spana ZIENDELEE, spana na utu TUNASONGA MBELE.