Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Hapana kwa style navyomjua juma ni ngumu kulala na pooulakwaiyo marafiki ndo hakiingii
au mjegeje hauingii ndan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana kwa style navyomjua juma ni ngumu kulala na pooulakwaiyo marafiki ndo hakiingii
au mjegeje hauingii ndan
Samahan mkuu,huyo Juma ni mtu wako wa karibuHapana kwa style navyomjua juma ni ngumu kulala na pooula
Hapana mkuu kwann ?Samahan mkuu,huyo Juma ni mtu wako wa karibu
Hamna niliona tu unavyomuelezea huyo Juma nikajua mnafahamianaHapana mkuu kwann ?
Utajuaje kama ni mtu na mke mwenza?
Ni mtu niliyekuwa namwona sana Instagram na nimemjua muda mrefu akiwa Kuna ile Team mond, team Nan miaka ya nyumaHamna niliona tu unavyomuelezea huyo Juma nikajua mnafahamiana
🤣🤣🤣🤣😂😂Good ! 😂😂😂😂 ... Ukijibu na wewe sio marioo tutakushangaaa
Hili jibu lako ingekuwa Mimi ni rahisi, ningekupa uteuzi
OkNi mtu niliyekuwa namwona sana Instagram na nimemjua muda mrefu akiwa Kuna ile Team mond, team Nan miaka ya nyuma
Juma akiwa ni team mondi na alikuwa anajua kukatika mpka ikampa nafasi ya kuwa hapo alipo
Akitiwa yeye au mimi na shida ganiwe mkeo atakuja tiwa mimba hivi hivi
Wee em sema kweli??Hao wote ni wanawake kuna shida gani wakishikana mikono?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila Juma jamani alivaa kitu gani yarabi!
Kama mwalimu wa stadi za kazi[emoji1316]
Ila watu mna kuntu, LolUtajuaje kama ni mtu na mke mwenza?
ohooAkitiwa yeye au mimi na shida gani
inafikirishaKama huyo ni mke wake na kamruhusu atoke nyumbani paja lote liko nje basi huyo Marioo akili hana na hilo suala la mke wake kushikwa hivyo wala siyo tatizo, kama kamruhusu atembee uchi kushikwa mkono ni kitu gani?
ushakuja na mambo yako ?Comments za humu zinachekesha, na zinafikirisha pia. Lol
ko akiwa upinde ndo hawezi kumla uyo demuUpinde😰