Marioo anajisikiaje 'mkewe' kushikana hivi na Juma Lokole kama mke na mume?

Kama huyo ni mke wake na kamruhusu atoke nyumbani paja lote liko nje basi huyo Marioo akili hana na hilo suala la mke wake kushikwa hivyo wala siyo tatizo, kama kamruhusu atembee uchi kushikwa mkono ni kitu gani?
 
inafikirisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…