ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Asalaaam wanajamvini.
Kazi yangu moja tu kuanzisha mada kutokana na wanayoongea wengi wakiwamo wasanii.
Kuna msanii mmoja mkwe wake Majani anafahamika kama Mario, amesema nyimbo zake zote alizotoa ni hit, na ni kweli sipingani na Hilo, hata Maromboso pia nyimbo zake alizotoa official zote ni hit.
Sasa discussion ya Leo napinda kidogo, nataka kujua je katika bongo fleva nchi hii ni msanii Gani mwenye hit nyingi zaidi Toka mziki tumeanza.
Sasa najua Diamond ndio anaongoza Kwa hit song, ila baada ya hapo je ni kina nani wanafuatia.
Kuna mtu anaitwa prof jay, jamaa ana hit mingi sana, mangwea jamaa ana hit mingi mno. Sasa huyu Marioo je ni namba moja Kwa hit song au amezidiwa hata na marombosso
Hili ni jukwaa, ila naamini Diamond anaongoza, may be wapili washindane muwataje