PostGE2025 Marioo asitisha kutoa wimbo wake mpya kisa maandamano, Amjibu Diamond katika wale kenge simo

PostGE2025 Marioo asitisha kutoa wimbo wake mpya kisa maandamano, Amjibu Diamond katika wale kenge simo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Kupitia Insta Story yake msanii Marioo ameandika kuwa,

“Kabla ya kila kitu Niliahidi kutoa Ngoma Week ya kwanza ya Mwezi huu ambayo ilikuwa ndo leo tars
lakini Baada ya kila kitu.

kutokea Nimehairisha Nimepeleka Siku za Mbeleni panapo Majaaliwa Ila Trust Me Hii ndo nilkuwa naenda
Kuwaambia wasanii wenu kwamba Nawaheshim tu ila
Musical kwa time hii Hakuna anayeweza Kusogelea huu Moto na Katika Wale KENGE MIMI SIPO.

Mungu azilaze Mahala pema roho za Marehemu
wote peponi”
1762603520726.png
 
Umeelewa alipoanza kusema "Kabla ya kila kitu" means mambo yenu sio kipaumbele chake,anatoa nyimbo mkasilizie wajinga wenzie hilo ndio muhimu.

Mwisho ndio RIP.. anhaa vipaumbele gays,vipaumbele...
 
Watajijua wenyewe sisi 9 Desemba tunamwagika barabarani kama hatuna akili nzuri
 
Wananchi ndo maboss wa wanasiasa, maboss wa wasanii, mabosi wa viongozi kwa hiyo ifike mahali hawa wote waishi kadiri sisi wananchi tunavyotaka!!!
 
Back
Top Bottom