Kupitia Insta Story yake msanii Marioo ameandika kuwa,
“Kabla ya kila kitu Niliahidi kutoa Ngoma Week ya kwanza ya Mwezi huu ambayo ilikuwa ndo leo tars
lakini Baada ya kila kitu.
kutokea Nimehairisha Nimepeleka Siku za Mbeleni panapo Majaaliwa Ila Trust Me Hii ndo nilkuwa naenda
Kuwaambia wasanii wenu kwamba Nawaheshim tu ila
Musical kwa time hii Hakuna anayeweza Kusogelea huu Moto na Katika Wale KENGE MIMI SIPO.
Mungu azilaze Mahala pema roho za Marehemu
wote peponi”
Kama hakuwahi kupanda majukwaa ya fisiemu basi maneno yake yatakuwa ni haki na yataandamana na baraka za wanachi na atastahiri ufalume siyo yule panya mwenye domo kama bakuli la uji wa misaada mashuleni.