Marioo kuwa makini na Harmonize

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Kufuatia picha waliyopost wasanii Harmonize na Marioo kuhusu ujio wa ngoma yao mpya, ningependa kumpa tahadhari Marioo kuwa Harmonize ni mtu mbad sana kwenye ngoma za kushirikiana na huwa hana huruma hata kidogo.



Kama unabishana namimi jaribu kupitia wimbo wa "NAOGOPA" walioimba pamoja Harmonize na Marioo.

Good Music from Badnation na Kondegang.
 
Hiyo picha inaonyesha kama konde boy ni mrefu kuliko Marioo ingawa kiuhalisia ni kinyume chake anyway wote wako vizuri ngoja tusubiri!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…