GE2025 Marioo: Mungu awape faraja wote waliopoteza wapendwa wao

GE2025 Marioo: Mungu awape faraja wote waliopoteza wapendwa wao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Msanii wa Muziki wa Bongo fleva 'Marioo' kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram ametoa salamu za Pole kwa Watanzania wote, familia na ndugu waliofiwa na wapendwa wao na Mwenyezi Mungu aweze kuwapa wote mioyo ya Subira katika kipindi hiki kigumu cha Taifa

1762261943871.png
 
Asante sana Marioo siyo yule Zuhura wa Domokaya, nilimjibu tu akajinyonge tumzike asitupigie kelele hapa.
 
Acha kutetea majina ya majina ya tungwa mzinki wa franco wa kongo
 
Wameanza kujikosha🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Back
Top Bottom