Marioo "Number one local artist right now" IMO

Darmian

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Posts
17,289
Reaction score
46,624
Huyu bwana mdogo kwa upande wangu namwona kama ndo msanii mwenye kazi nzuri zaidi kibongobongo kwa sasa..

√ Uandishi ulioenda shule

√Melody

√Clean lyrics

Everything top notch

Sema music industry ya bongo bado sana na imelalia upande mmoja ambapo huo upande ni lazima uchanganye muziki na showbiz kibao ili uende mbali zaidi..

Kazi zake ninazo zikubali

√Ifunanya

√Yale

√Dar kugumu

√Inatosha

√Raha

Hopefully ataendelea kukaza na kupata rizki anayostahili kutokana na kipaji chake
 
Very true....
Sent from my SM-J7+ using JamiiForums mobile app
 
jamaa anajua sana kibongo bongo akaze tu afikie alipo harmonize.
 
marioo sema tu hayupo lebel kubwa
kila siku nasemaga mziki wa bongo umeegemea upande upande kulia na kushoto so hawa wa kati kina marioo hawasikiki sana.
inatosha ni songi la mwaka
True hii industry imelala upande mmoja..
 
Marioo anajua sana...
Manyaku
Ifunanya
Inatosha
Raha

Hizi naweza zisikiliza siku nzima..

Kuna dogo anaitwa Foby naye yuko vizuri sana..

Si lazima
Ila
Niokoe
Kitanda
Hawa madogo wanajua kinoma,ila mafanikio yao sio proportional na kazi zao
 
Ila nyimbo zake hazina AMSHA AMSHA. Ni za.polepole sana ngumu kucheza. Ni kusikiliza tu
 
Bongo bado sanaaa
Binafsi nilikuwa namkubali diamond,lakini naye siku hizi simuelewi sijui anaimba nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…