Marioo "Number one local artist right now" IMO

Marioo anajua sana...
Manyaku
Ifunanya
Inatosha
Raha

Hizi naweza zisikiliza siku nzima..

Kuna dogo anaitwa Foby naye yuko vizuri sana..

Si lazima
Ila
Niokoe
Kitanda
Fundi huyo kushinda hata marioo sema hayupo serious kuna ngoma yake moja inaitwa ng'ang'ana ni balaa
 
marioo sema tu hayupo lebel kubwa
kila siku nasemaga mziki wa bongo umeegemea upande upande kulia na kushoto so hawa wa kati kina marioo hawasikiki sana.
inatosha ni songi la mwaka
Hakika
 
Marioo bado Sana, nyimbo nyingi ni substandard, kwangu Mimi ni nyimbo mbili tu alizohit target ila akakosa timing, na hii inatokana na kutokuwa na management yenye akili timamu, Pia anasapotiwa na CMG na hawez fika popote labda atafute tu hela ya kula, clouds wana wasanii wengi na kila moja anahtaj maximum support, mwisho wa siku sapot yao haikufikishi popote usipojiongeza....
Nyimbo nzur alizotoa ni Dar kugumu na Chibonge , japo Chibonge ndo hitsong
 
Anasapotiwa na CMG??

Mbona media zote zinacheza kazi zake??

Na unaposema anasapotiwa na Clouds una maanisha nini??

Kutengeneza hitsongs sio kazi rahisi..hizo tu mbili zinatosha kusema kuwa dogo yupo vizuri..
 
Marioo anajua sana...
Manyaku
Ifunanya
Inatosha
Raha
Hizi naweza zisikiliza siku nzima..
Kuna dogo anaitwa Foby naye yuko vizuri sana..
Si lazima
Ila
Niokoe
Kitanda
Foby nae ni nouma,ana ngoma na Barnaba inaitwa Twende,ni nuksi
 
Huwa namkubali sana msanii ambae ni full Package,Anaandika,Melody,Anaimba nk.Marioo kaandika hitsongs shazi sana kama Pambe ya Christian Bella,Wasikudanganye ya Nandy,Banana ya Janjaroo,Mimina ya Gigy Money,Jini kisirani na Yanamiminika za Amber Lutty!Noo sio Amber Lutty ni Amber Lulu bhana.!Marioo simtofautishi na kina Jay Melody,Hanstone,Foby na Mbosso,,Wana uwezo mkubwa sana ila tatizo Music system ya Bongo. yaani watu wanaendesha system kuliko system yenyewe ndo iamue,Yaani media zinapanga wa kumpandisha nani na wakumshusha nani pia!!What a Fvck are they Crazy??Hanstone,Foby,Marioo na Ibranation wakipata Label kubwa watafika mbali mno...Mikwaju ya Marioo nnayoikubali ni hii-:
Dar Kugumu,
Yale,
Subira,
Wauwe,
Ifunanya,
Manyaku,
Inatosha,
But to be Honesty hii Raha siikubali kabisa yaani.
 
unajua mziki

dogo anajua ila hatoi hitsong
dar kugumu kaandika kiupekeee sana sana
chibonge imekuwa hitsong

ili kumuokoa huyu dogo asifananishwe na msanii yoyote wa wcb atapata maadui
 
unajua mziki
dogo anajua ila hatoi hitsong
dar kugumu kaandika kiupekeee sana sana
chibonge imekuwa hitsong
ili kumuokoa huyu dogo asifananishwe na msanii yoyote wa wcb atapata maadui
Kabisaa wamuache aende2 kivyake atafika tu Toto Bad ndo kwanza ana miaka22
 
dingi upo kama mimi yaani
marioo,foby,ibrahnation
hawa wanakosa management tu basi! uwezo wao ni mkubwa sana
 
dingi upo kama mimi yaani
marioo,foby,ibrahnation
hawa wanakosa management tu basi! uwezo wao ni mkubwa sana
Kabisa Bablai..Management ndo kila kitu hasa akipata msimamizi mjanja kama kina Sallam SK"Mendez" Mbona Ma'chalii wanafika tu!maana kama uwezo wanao.
 
Anasapotiwa na CMG??

Mbona media zote zinacheza kazi zake??

Na unaposema anasapotiwa na Clouds una maanisha nini??

Kutengeneza hitsongs sio kazi rahisi..hizo tu mbili zinatosha kusema kuwa dogo yupo vizuri..
We jamaa sijui upo vipi ikiguswa tu clouds unatoaga povu au we ni mfanyakazi wa clouds
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…