Huwa namkubali sana msanii ambae ni full Package,Anaandika,Melody,Anaimba nk.Marioo kaandika hitsongs shazi sana kama Pambe ya Christian Bella,Wasikudanganye ya Nandy,Banana ya Janjaroo,Mimina ya Gigy Money,Jini kisirani na Yanamiminika za Amber Lutty!Noo sio Amber Lutty ni Amber Lulu bhana.!Marioo simtofautishi na kina Jay Melody,Hanstone,Foby na Mbosso,,Wana uwezo mkubwa sana ila tatizo Music system ya Bongo. yaani watu wanaendesha system kuliko system yenyewe ndo iamue,Yaani media zinapanga wa kumpandisha nani na wakumshusha nani pia!!What a Fvck are they Crazy??Hanstone,Foby,Marioo na Ibranation wakipata Label kubwa watafika mbali mno...Mikwaju ya Marioo nnayoikubali ni hii-:
Dar Kugumu,
Yale,
Subira,
Wauwe,
Ifunanya,
Manyaku,
Inatosha,
But to be Honesty hii Raha siikubali kabisa yaani.