Marioo "Number one local artist right now" IMO

Kuna nyimbo yake naitafuta sijajua inaitwaje nanukuu ''ila sio mbaya na miguu mitatu nishanunu na nyumba ya sala sala nishapau beba vilago vyako nakungoja'' hii nyimbo inaitwaje
Jina ni "Dar kugumu"
 
Wacha nimfatilie pengine atanishawishi
 
Wimbo wa Chibonge Marioo kaimba Kwa level ya juu Sana, kaflow na beat vizur Sana, na ndo man umekuwa hitsong , kitu kizur huwa kinajiuza tu mbali na vikwazo vilivyopo...akitoa wimbo mzur lazima utatambaa tu....nilikuwa nimempa max 100 kwenye Chibonge ila niliposikia tena wimbo ni wa abbah ...daaah so sad, katika nyimbo alizoimba bas Chibonge ameimba to the maximum nimempigia salute .... excellent performance
 
Tatizo anapiga show hadi kwenye Vipub vya hapa bunju.
Kiingilio beer 2.
Life is not fair.
 
Tatizo anapiga show hadi kwenye Vipub vya hapa bunju.
Kiingilio beer 2.
Life is not fair.
Bongo nyoso sana..

Angekuwa holywood huyu dogo angekuwa saivi ana miliki mamansion ya $millions..kwa proportion ya talent yake
 
Soon ataanza fananishwa na diamond
 
Manyakunyaku ..haka kawimbo katam sana
Akanimaliza na chibonge basi akhaa

Kuna watu watasema hajui kitu
 

kweli aisee ila hata hii ngoma mpya ya Raha kajitahidi pia maana ni unique. ukiangalia nyimbo anazotunga utagundua kuwa ana kichwa kinachotoa nyimbo ambazo kama hazijaandikwa na mtu mmoja yaani kitu kama hiki hata aslay ndicho kilimshusha.

Jamaa yupo juu kwa promo na kila kitu ila kutokuwa juu kama anavyotakiwa nahisi tatizo lipo kwenye branding. Unajua kuwa juu kwenye sanaa ni zaidi ya kujua kuimba, kutunga, video kali na shows..ni lazma watu wakae na waumize vichwa ili wajue unaingiaje katika market yaani kama bidhaa yenye uhai na sio nyimbo tu. Hapa ndipo nahisi tatizo lilipo yaani anajiuza kama talent na sio mtu, hapa ndipo huwa namkumbuka Ruge, he was genius kwa hiki kitu
 
Anajua sana ila tatizo lake moja anapita na melody zile zile kwenye nyimbo zote hua anaswitch kidogo sanaaa
 
Nakuunga mkono kwa 10000%. Mtu serious hawezi sikiliza hizi bongo fleva za miaka hii. Bongo fleva waliondoka nayo wakina Ngwair. RIP soldier.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…