Marioo "Number one local artist right now" IMO

Narudia tena Wimbo wa chibonge ni wakwake Abbah na siyo Marioo.
Marioo na Hastone wameshirikishwa kwenye wimbo wa chibonge.
Mimi nimemkubali Marioo wimbo wake wa inatodha.
Halafu style za uimbaji naona kama zinafanana na Jay Melody.
 
Narudia tena Wimbo wa chibonge ni wakwake Abbah na siyo Marioo.
Marioo na Hastone wameshirikishwa kwenye wimbo wa chibonge.
Mimi nimemkubali Marioo wimbo wake wa inatodha.
Halafu style za uimbaji naona kama zinafanana na Jay Melody.
Wimbo ni abah ila mtunzi si ni yeye yani walichokifanya ni kama dj Khalid na team yake ile ila huwezi sema wimbo sio wa marioo wakati yy ndo mtunzi pale abah atapata mauzo tu ya ile nyimbo
 
Nakuunga mkono kwa 10000%. Mtu serious hawezi sikiliza hizi bongo fleva za miaka hii. Bongo fleva waliondoka nayo wakina Ngwair. RIP soldier.
Kila nabii na zama zake kwa wakati huu wanaendana na kizazi chao
 
Ametoa nyimbo nzuri nyingi ila ule MANYAKUNYAKU ndio mwisho wa maneno, sijawahi kuuchoka. Ni kama ambavyo naupendaga NIOKOE wa Fobby ama MAZOEA wa Kayumba
 
Dude you know what you are talking very impressive!Namfaham Dogo personally kabla hajatoka yupo vizuri anaandika zaid Ya Sana.Akipata management inayojua atafika mbali.Nimesahau kuna ngoma alimtungia Dogo Ditto.
Inaitwa NABEMBEA
 
Inatosha ndo mashine kuliko zote hapo....ule wimbo sijui aliandika wakati gani,audio tamu video stori safi sichoki kuusikiliza na kuuangalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…