Marioo "Number one local artist right now" IMO

Marioo "Number one local artist right now" IMO

Hivi bado mnasikiliza ngoma za bongo tu??? kwa wasanii wapi???

Wasanii na mziki ulitoka kwa majani, ukapokelewa na dunga, hermy b na pacho pamoja na bob manecky baada ya studio kuanza kuota kama Uyoga na quality control kuwa ngumu basi hapa ndio tulipofikia nyimbo ni chibonge, inama, kanyaga, tetema, doko, yani utumbo mtupu.
 
Kwenye hizo nyimbo ulizozitaja hazipo kwenye list yangu..na ofcourse ni nyimbo za kipuuzi
 
No sio..mtoto wa Banza Stone ni Hanstone
Naskia ni mzuri, najua uzi huu ni mahususi kwa kuwapromote hao tuwajue, next time jifunze kutambua uwepo wa waloteka soko ili kupitia wao, hao unaosema nyimbo zao ni takataka mkuu ndo wenye soko lao, tatizo hamtaki kuamini kama hiyo radio na wasanii wake sikuizi hakuna anaeizingatia, kibiashara na kwa kuwa bado wanakua usitegemee mtawatoa kwa njia ya kumponda huyo jamaa zaidi mtafanya tu wanaompenda (the majority) wawachukie hao mnaowasapoti na hivyo kuua career yao.
 
Kwenye hizo nyimbo ulizozitaja hazipo kwenye list yangu..na ofcourse ni nyimbo za kipuuzi
Utaziitaje nyimbo za kipuuzi wakati ndo zinazopendwa na watu wengi mbona hizo ambazo unazoita sio za kipuuzi mboza zinashindwa kufanya vizuri Kama hizo unazoziita za kipuuzi ebu jaribu kuwa na heshima na kazi za watu.
 
Soma uzi wangu acha kukurupuka wewe..

Nimesema wazi kuwa marioo anafanya kazi safi (clean lyrics) na kazi inakuwa nzuri..No wonder unaweza kukaa na wakubwa zako huku ukisikiliza Nyegezi ya Rayvany

Kupendwa kwa kitu hakuzuii chenyewe kuwa cha kipumbavu.
 
B

Basi usilazimishe ngoma unazopenda wewe zipendwe na watu wengine.
 
Marioo ni msanii mzuri ila sio kivile Sana, kwangu Mimi anazidiwa hata na otile brown, sema kitakchomuua dogo ni cloudinization , hawa jamaa Kwa sasa wanawadidimiza madogo Sana, hawawezi kumfikisha mbali lakn pia hawataki atoke nje ya boundary yao, out of the game wasafi wameteka soko na makampuni yanawaelewa hata kimataifa ni wao ndo wanajulikana...management ya wasafi ilikuwa inamfaa Sana lakn ndo hvo tena....ataendelea kuishia view laki nne akizidi million moja
 
Marioo ni msanii mzuri ila sio kivile Sana, kwangu Mimi anazidiwa hata na otile brown, sema kitakchomuua dogo ni cloudinization , hawa jamaa Kwa sasa wanawadidimiza madogo Sana, hawawezi kumfikisha mbali lakn pia hawataki atoke nje ya boundary yao, out of the game wasafi wameteka soko na makampuni yanawaelewa hata kimataifa ni wao ndo wanajulikana...management ya wasafi ilikuwa inamfaa Sana lakn ndo hvo tena
Kwel kabisa aslay nae alikuwa anasapotiwa na clouds Sasa hiv Yuko wapi? Zaidi abaki kulia Lia tu
 
Huwa namkubali sana msanii ambae ni full Package,Anaandika,Melody,Anaimba nk.Marioo kaandika hitsongs shazi sana kama Pambe ya Christian Bella,Wasikudanganye ya Nandy,Banana ya Janjaroo,Mimina ya Gigy Money,Jini kisirani na Yanamiminika za Amber Lutty!Noo sio Amber Lutty ni Amber Lulu bhana.!Marioo simtofautishi na kina Jay Melody,Hanstone,Foby na Mbosso,,Wana uwezo mkubwa sana ila tatizo Music system ya Bongo. yaani watu wanaendesha system kuliko system yenyewe ndo iamue,Yaani media zinapanga wa kumpandisha nani na wakumshusha nani pia!!What a Fvck are they Crazy??Hanstone,Foby,Marioo na Ibranation wakipata Label kubwa watafika mbali mno...Mikwaju ya Marioo nnayoikubali ni hii-:
Dar Kugumu,
Yale,
Subira,
Wauwe,
Ifunanya,
Manyaku,
Inatosha,
But to be Honesty hii Raha siikubali kabisa yaani.
Dude you know what you are talking very impressive!Namfaham Dogo personally kabla hajatoka yupo vizuri anaandika zaid Ya Sana.Akipata management inayojua atafika mbali.Nimesahau kuna ngoma alimtungia Dogo Ditto.
 
Ndoivo mkuu..Chalii anaandika sana hadi kuna muda Willy Paul alimwambia apunguze kuandikia watu..Very talented
 
Wapi nimelazimisha wewe umpende Marioo??...
We jamaa niaje??
Mkuu Usimsikilize Huyo Lofa
Huwa Linataka Tuliskilize Lenyewe Tu.
Kwake Yeye Mziki Mzuri Ni Nyegezi Na Doko Sijui Na Manini Sijui
 
Hivi bado mnasikiliza ngoma za bongo tu??? kwa wasanii wapi???

Wasanii na mziki ulitoka kwa majani, ukapokelewa na dunga, hermy b na pacho pamoja na bob manecky baada ya studio kuanza kuota kama Uyoga na quality control kuwa ngumu basi hapa ndio tulipofikia nyimbo ni chibonge, inama, kanyaga, tetema, doko, yani utumbo mtupu.
Mkuu mimi mwenyewe nilikua najua jombaa ana uwezo mkubwa wa kutunga maana kawafanya gigy money kuwa na hit song ya papa wakati kipaji sifuri, sikiliza mistari ya chibonge na concept nzima ya wimbo utajua jamaa is magic mzee.

Mimi kiukweli wimbo wake INATOSHA ndio ulinishtua na kaimba ile bongo flava yenyewe. Kasikilize beats, flow ya melodies na maneno.

Kiukweli jamaa ni talented writer, sauti sio kali sana ila inatosha kisanaa, melodies zake na nyimbo anazoimba ni unique na hana video mbovu. Yupo vizuri kiukweli
 
Kuna nyimbo yake naitafuta sijajua inaitwaje nanukuu ''ila sio mbaya na miguu mitatu nishanunu na nyumba ya sala sala nishapau beba vilago vyako nakungoja'' hii nyimbo inaitwaje
 
Mkuu mimi mwenyewe nilikua najua jombaa ana uwezo mkubwa wa kutunga maana kawafanya gigy money kuwa na hit song ya papa wakati kipaji sifuri, sikiliza mistari ya chibonge na concept nzima ya wimbo utajua jamaa is magic mzee.

Mimi kiukweli wimbo wake INATOSHA ndio ulinishtua na kaimba ile bongo flava yenyewe. Kasikilize beats, flow ya melodies na maneno.

Kiukweli jamaa ni talented writer, sauti sio kali sana ila inatosha kisanaa, melodies zake na nyimbo anazoimba ni unique na hana video mbovu. Yupo vizuri kiukweli
Ni kitu kizuri kuappreciate mtu pale mtu anapofanya kitu kizuri cha utofauti.[emoji109][emoji109]
 
Back
Top Bottom