Marioo unatakiwa Ubadilike sasa sio kila siku nyimbo hizo hizo za kulalamika?

Marioo unatakiwa Ubadilike sasa sio kila siku nyimbo hizo hizo za kulalamika?

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Wakatia Anaanza alikuwa vizuri, lakini naona sasa toka atoe aya naona ndo vile vile nyimbo zinazofata ni kulalamika kama kwenye Aya, Marioo badilika tunataka sasa utoke nje ya East Africa Nenda Nigeria, Congo,

Kuimba una kipaji ila inabidi ujitahidi kuangalia hayo maeneo, pia nyimbo za mapenzi muda wote zinachosha toa vibao tofauti tofauti ili watu tufurahie kazi zako! Kuwa kama diamond Unaona Yeye kila sehemu yupo taarabu,Afro pop,Rnb, Bongo fleva
 
Wakati mwingine si kila mtu anaweza fanya kila kitu.. kumlazimisha kufanya unachotaka kusikia anaweza kuja kufanya kituko na mkasema jamaa kaishiwa .. afanye tuu kolabo kubadilisha radha
 
Back
Top Bottom