Car4Sale Mark 11 grande for sale

Kweli vyuma vimekaza.
Gari inauzwa milioni mbili na bado watu wanaona bado ni ghali.
 
Mkui gari namba A unataka tununue kwa shs ngap??
Namba pekee bado hainibabaishi sana, kibongo bongo kuna factors zingine nyingi zinahusika kupima afya ya gari. Kwa mfano mileage, mazingira iliyotumika, brand, body, engine etc.

Zipo gari ni namba D lakini zimechoka kupita maelezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…