Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ubaya wa Tanzania gari inauzwa kwa plate namba utasikia namba b,c,d
*Baada ya kufanya vizur sana kwenye ulimwengu wa simu tumehamia kwenye automobile tunatisha na bei zetu ni sawa na bure*
Mitshubish gdi safi inatembea safi 3.5milion pasho laki na nusu
Raum new model kinanda sana 8
Mitshubish lancer 3 milion
Starlet 3 milion
Corrola 110 4.6
Noah old model namba c 8.5
Sienta kal 8m5
Toyota coaster 15 milion
Nissan bluebird 5 milion
Hizo ni update za sasa kama unanteja posho tunagawana nus kwa nusu password sinaga call me 0652472486 for picture inbox me
Asante saana kwa kumchanaWewe Antipas Mushi ni muongo muongo sana.
Kuna kipindi ulitangaza kuuza gari humu nikaacha shughuli zangu kuja kuliona ukanizungusha sana na gari sikufanikiwa kuliona.
Nina hofu kubwa sana kuwa wewe ni Tapeli au Dalali tu usiye na mamlaka na hayo magari unayotangaza humu...!
Ninawashauri wateja wako wote wafanye biashara na wewe kwa tahadhari kubwa sana.
Siku hizi mizizi na dawa za kienyeji huuzi tena mkuu au hazilipi?Sio haki kabisa hamjui situation
huna namba ya watsap nahitaji hiyo starlet*Baada ya kufanya vizur sana kwenye ulimwengu wa simu tumehamia kwenye automobile tunatisha na bei zetu ni sawa na bure*
Mitshubish gdi safi inatembea safi 3.5milion pasho laki na nusu
Raum new model kinanda sana 8
Mitshubish lancer 3 milion
Starlet 3 milion
Corrola 110 4.6
Noah old model namba c 8.5
Sienta kal 8m5
Toyota coaster 15 milion
Nissan bluebird 5 milion
Hizo ni update za sasa kama unanteja posho tunagawana nus kwa nusu password sinaga call me 0652472486 for picture inbox me
0652472486huna namba ya watsap nahitaji hiyo starlet
Ahsante kwa angalizo zuri kuhusu Antipas.....namie nilishapata taarifa full kuhusu huyu jamaaWewe Antipas Mushi ni muongo muongo sana.
Kuna kipindi ulitangaza kuuza gari humu nikaacha shughuli zangu kuja kuliona ukanizungusha sana na gari sikufanikiwa kuliona.
Nina hofu kubwa sana kuwa wewe ni Tapeli au Dalali tu usiye na mamlaka na hayo magari unayotangaza humu...!
Ninawashauri wateja wako wote wafanye biashara na wewe kwa tahadhari kubwa sana.
ni nani?Ahsante kwa angalizo zuri kuhusu Antipas.....namie nilishapata taarifa full kuhusu huyu jamaa