Mark 2 Grande Gx 110 aka Jini Mkata Kamba

Mark 2 Grande Gx 110 aka Jini Mkata Kamba

Funga adroid hizo speaker za kweny gar zinatosha san , labd kama una mambo mengi
Wajuzi wa mambo,

Naomba ushauri kama inafaa kufunga subwoofer kwenye mark x au niweke adroid tu speaker zake zitatosha? Naomba uzoefu
 
Cressida ilikuwa tamu sana zilikuwepo hadi za 2.8LView attachment 2290883
Wakati najifunza kazi yangu ninayoifanya sasa (1999) hii tulikuwa tunaiita Cresida Box.

downloadfile(28).jpg


Alikuwa na pacha wake MarkII Box,Cresta Box na Chaser Box,nzuri sana zilikuwa hizi gari kwa wakati wake.
 
Mi ninayo toka mwaka 2010 ina engine Beam2000 "35th anniversary" namba B.. very comfortable car, mafuta kwa safari ndefu ndio utaenjoi sana yaan full kipupwe inaenda 12-13 KM/ L.
Dom-Dar lita35 na nabaki na chenchi

Muungurumo wa gari ukiwa ndani ndio dah!! acha kabisa, kila nikifikiria kuiuza najikuta naahirisha
Mkuu vp kwa safari za town inaenda km ngapi kwa ltre?
 
Back
Top Bottom