acha ubishi,tarehe 24 mwezi uliopita nimeagiza TOYOTA CROWN ROYAL SBT JAPAN kwa USD 2100 CIF with INSPECTION na ni ya mwaka 2005,kodi ikifika kwa mujibu wa TRA Calculation katika website yao nitalipa tsh 5,635,000,ukiongeza na port charges na vipesa vingine jumla itakuwa ml.10.4,nilipata CROWN KUPATANA na nikaiona kwa tsh ml.9 nikakataa sikuipenda rangi yake,na hata sasa ingia KUPATANA kuna CROWN mpaka za ml.8.5 zinauzwa,so ni vizuri kufanya research kabla ya kuuza,hiyo GRANDE niliimiliki mwaka 2009 yangu ilikuwa namba T.204 BEJ