Car4Sale Mark 2 grande inauzwa

Car4Sale Mark 2 grande inauzwa

NAREI

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2017
Posts
1,730
Reaction score
1,660
CAR DETAILS

year: 2001
Engine: vvti (1G)
Engine capacity (cc) : 1990
Mileage (odometers); 78,000 km
Location: Mbezi Beach
Price: 9.5m
Contact: 0757 832833
Only serious buyers.
View attachment 919007
IMG-20181101-WA0002.jpeg
IMG-20181101-WA0001.jpeg
IMG-20181101-WA0000.jpeg
 
Bei hiyo mtu anapata TOYOTA CROWN mkuu,hiyo ni 6 tu
Kwa mileage hiyo boss... Hiyo 9.5 ni sawa tu...

Shida ni kwa sababu ina hiyo plate No. DJS

Ingekuwa haina halafu imepambwa na "Imported from Japan " mngeshanunua a see.
 
Za 7m zipo nyingi tu.
Unapouza asset huwezi kuuza simply because umepata offer ya mteja, but unauza kulingana na conditions ya Mali husika na nin unataka kufanya Mara baada ya kuuza (malengo yako)

Sawa
 
Za 7m zipo nyingi tu.
Unapouza asset huwezi kuuza simply because umepata offer ya mteja, but unauza kulingana na conditions ya Mali husika na nin unataka kufanya Mara baada ya kuuza (malengo yako)
hizi hazina soko mjini kama xtrail tu
 
acha ubishi,tarehe 24 mwezi uliopita nimeagiza TOYOTA CROWN ROYAL SBT JAPAN kwa USD 2100 CIF with INSPECTION na ni ya mwaka 2005,kodi ikifika kwa mujibu wa TRA Calculation katika website yao nitalipa tsh 5,635,000,ukiongeza na port charges na vipesa vingine jumla itakuwa ml.10.4,nilipata CROWN KUPATANA na nikaiona kwa tsh ml.9 nikakataa sikuipenda rangi yake,na hata sasa ingia KUPATANA kuna CROWN mpaka za ml.8.5 zinauzwa,so ni vizuri kufanya research kabla ya kuuza,hiyo GRANDE niliimiliki mwaka 2009 yangu ilikuwa namba T.204 BEJ
 
Habari za Majukumu,

Nauza gari yangu Aina ya Toyota mark2 shemeji yenu kaichoka, ipo vizuri kabisaa kuanzia muonekano mpaka mchine na Kila kituu, anatumia kwenda kazini na saloon Tu,

Cc 1990
Engine Beem2000
Location Dar es salaam
Price 5,700,000
Contact: 0658644485 picha zaidi whatApp
 
Back
Top Bottom