Masagala
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 2,278
- 3,960
PichaHabari za Majukumu,
Nauza gari yangu Aina ya Toyota mark2 shemeji yenu kaichoka, ipo vizuri kabisaa kuanzia muonekano mpaka mchine na Kila kituu, anatumia kwenda kazini na saloon Tu,
Cc 1990
Engine Beem2000
Location Dar es salaam
Price 5,700,000
Contact: 0658644485 picha zaidi whatApp