James Gatz
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 301
- 319
Huo utaratibu wao ulinifanya niione movie moja niliipenda sana. Ilikuwa ni legal thriller ikiitwa The Last Innocent Man.Robocop?
Sikumbuki ila ITV Kila Christmas na mwaka mpya wanaweka muvi usiku...
Mkuu una kumbu kumbu sana 😊Huo utaratibu wao ulinifanya niione movie moja niliipenda sana. Ilikuwa ni legal thriller ikiitwa The Last Innocent Man.
The only wayYale maneno ya mwishoni kwenye jina la movie yalifanya niwe na mzuka sana hii movie 'The Hard Way the Only Way"
Mnazijua mpk majina🤓Halafu walikuwa weekend mchana hasa jpili wanaweka ''Point Man au Renegade''
Na muda sana siangaliagi ITVHuu utaratibu ni mpaka sasa au wameshaacha
Ipo Ile ya Amin ambayo ime base in Afrocentric views...Haya, wapenzi wa movie
Mkuu upo vizuri 🤓🤚Nyingine
Unazungumzia ipi mkuu au Last King of Scotland?Ipo Ile ya Amin ambayo ime base in Afrocentric views...
Hio utampenda Amin
Hii Amin ame potraiwa kama katili😊
Mla nyama za watu...
Zipo vizuri sana kwa mtazamo wanguMkuu upo vizuri 🤓🤚
Hizi sijazionaa...
Hapana ni Documentary ya Idd aminiUnazungumzia ipi mkuu au Last King of Scotland?
Nimeiona pia, jamaa alikuwa mtu smart sana! Kuna kile kipande anaongea na baraza lake la mawaziri nilimkubaliHapana ni Documentary ya Idd amini
Ndio hiyo aisee,nimehangaika mnoYule kaka kule mashamban alikua na fulana nyeusi na surual nyeupe. Hii movie naitafuta hadi leo lkn wapi sijawah bahatika. Kuna sehemu wanaingia kama mapangoni kuna majitu kama mizimu hivi. Sijui ni hiyo au naifananisha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo inaitwa Van Damme ya Msalabani.Movie kali zaidi ya mapigano ya muda wote ni CYBORG-van damme
Ngoja niendelee kuitafuta nikifanikiwa jina ntakujuza.Ndio hiyo aisee,nimehangaika mno