Mark Dacascos mkali wa muvi ya Drive

Mark Dacascos mkali wa muvi ya Drive

Wakali kuna movie moja ya watoto wa mitaani wapo ktk kituo kinasimamiwa na masista. Wanajaribu kutoroka mara nyingi kwa sababu ya mateso wanashindwa. Mwishoni kabisaa wanafanikiwa.
Hii movie ilioneshwaga Channel 5 kipindi inaanza Anza kama sikosei. Jina lake sijui inaitwaje ile?
 
Wakali wa mkono walikuwa
Michael Dudikoff
Steve James
Bill Blanks
Jalal Merhi
Cynthia Rothrock
Chuck Norris
Steven Seagal
.
.
.
.
Ila movie za Steven seagal sometimes hua Ni changamoto Sana, mwamba hua hapigwi ye anabonda tu.

Hard to kill naikubali.

Movie zake za miaka hii Ni za kijinga,low budget films na ujinga mwingi.
 
All right.. pozi kibishi kabisa wako man selector top ranking dj ranking afro amigos....
 
Hi mbona Kama inakuja kwenye memory fanya uweke cover lake
Mtoto ndo anachomwa moto mbele ya dingi ake, kumbe kile kitoto kilikuwa kijanja kikajifukia chini, Dah Those back days
Kama nimeijua sio ile kubwa la maadui anachapa bakora wanajeshi wake jamaa anafungwa anaangalia jua
 
Hi mbona Kama inakuja kwenye memory fanya uweke cover l
Mtoto ndo anachomwa moto mbele ya dingi ake, kumbe kile kitoto kilikuwa kijanja kikajifukia chini, Dah Those back days

Ila 1980-1990s kilikuwa ni kipindi cha movie za kijeshi sana 🤣🤣🤣 af nyingi kali. Sikuhizi movie za kijeshi hamna kabisa. Hata zikitoka sio kali.
Extrovert kinachokusumbua ila instargia effect kukumbuka moments za zamani ila ulweli movie za miaka hio hamna kitu kabisa zilikuwa kwa wakati wake sahihi tu kwa akili, maendele za wakati huo zilotufanya tuone nzuri ila ukweli hizo movie zingetoka sasahivi 😂😂😂
 
Ila movie za Steven seagal sometimes hua Ni changamoto Sana, mwamba hua hapigwi ye anabonda tu.

Hard to kill naikubali.

Movie zake za miaka hii Ni za kijinga,low budget films na ujinga mwingi.
Katika maisha ya uhalisia kabisa, Steven Seagal ni Marshal Artist na yuko vizuri sana huyo Mzee

Kuna kipindi miaka ya nyuma aliwahi kuojiwa akasema hana tena muda wa kupoteza kupigana...yeyote atakayemrushia mkono, anauvunja huo mkono hapohapo

Pia alibadilisha dini sasahv ni Buddhist kama wachina na wajapan wengi
 
Hi mbona Kama inakuja kwenye memory fanya uweke cover l



Extrovert kinachokusumbua ila instargia effect kukumbuka moments za zamani ila ulweli movie za miaka hio hamna kitu kabisa zilikuwa kwa wakati wake sahihi tu kwa akili, maendele za wakati huo zilotufanya tuone nzuri ila ukweli hizo movie zingetoka sasahivi [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaap, teknolojia ilikuwa hafifu, computer na TV zile za migongo mikubwa, No laptops, mobile phone hakuna zaidi ya radio call

Pia picture hazikuwa clear sana inaeleweka na movie karibu zote zilikuwa na Idea zinazofanana katika kuanza na zinavyoisha...

Starring anaua majambazi wote kwa bunduki na mabom then anamuua Mkuu wao kwa mkono then Polisi ndio wanakuja na magari yao na ving'ora wakati Mwamba ashawamaliza Majambazi yote [emoji39]
 
Sijui nani ataijua hii movie

Ni horror movie zamani tuliita movie ya kijini, nakumbuka sehemu chache Kama kuna watu wanatupa pipa(kanista) sehemu hivi pembezoni mwa mji watoto watundu kuchezacheza usiku wanaenda kwenye pipa kumbe kwenye pipa Kuna kiumbe/zombie kwa utundu wao wanalicungulia wanakimbi

Sehemu nyengine mtoto anakimbia makaburini zombie/jini linafufuka

Kuna sehemu jini/zombie anakatwa kichwa jamaa anaweka kwenye begi

Nakumbuka sehemu hizo chakushangaza hii movie kila mdau ukimuuliza anakumbuka sehemusehemu tu Kama hizo ila movie haikumbuki jina....moja ya movie ilikuwa maarufu ya kijini wakati huo.

Anayeikumbuka
 
images (38).jpeg
 
Back
Top Bottom