Mark Dacascos mkali wa muvi ya Drive

Mark Dacascos mkali wa muvi ya Drive

Mwamba huyo hapo,
 

Attachments

  • images (13).jpeg
    images (13).jpeg
    49.8 KB · Views: 2
  • images (12).jpeg
    images (12).jpeg
    33.1 KB · Views: 2
View attachment 2583319
Hii ni Moja ya muvi Bora za wakati wote...

Mark Dacascos alitembeza mkono kwenye hii muvi mwanzo mwisho....

Huyo Rasta fundi gereji muoga muoga....

Ni Moja ya ubunifu Bora kabisa kuwai kutokea kwenye tasnia ya muvi za ki mapigano...

Hii muvi inakukumbusha nini?
Drive[emoji91][emoji91][emoji91] unyama ulikua mwingi sana.

Sema rasta alikua mzaha sana
 
Back
Top Bottom