7ve
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,458
- 4,000
Kitambo sana hiyo.Kuna ile mzee anachomwa moto mbele ya mtoto wake kumbe kajifukia chini. Adui anapigwa risasi ya jicho heka heka mwanzo mwisho[emoji1787][emoji1787]. Kwanza kuna muda starring ni kama alishonwa usoni bila ganzi yaani movie full visanga tu.