Mark Dacascos mkali wa muvi ya Drive

Mark Dacascos mkali wa muvi ya Drive

Jet li ni miongoni mwa mastaa ambao siwezi wasahau, na Huwa sichoki kuangalia muvi zake , hii inaitwa Romeo must Die, pia Iko nyingine inaitwa cradle to the grave mkubwa wa maadai ni Mark Dagascos
Kuna
Shanghai night
Shanghai noon
 
Kuna muvi nimeisahau Kuna mtu Ali ingia maabara...

Wakachanganya chemical wakabadilika wakawa wadogo (viduchu)
Ishu ikawa uki ingia Kwenye majani unapotelea...
Mtu akitema mate ni mafuriko 😊
Akitembea unakanyagwa kama sisimizi...
Sikumbuki inaitwaje..
 
Kuna hii hapa,
 

Attachments

  • images (7).jpeg
    images (7).jpeg
    43 KB · Views: 3
Back
Top Bottom