Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Dolph anakula masikio ya wanadamu 🤣🤣🤣Yote mmeonge ila kusahau hii movie ni kosa kama ilivyo ubakaji
View attachment 2584030
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dolph anakula masikio ya wanadamu 🤣🤣🤣Yote mmeonge ila kusahau hii movie ni kosa kama ilivyo ubakaji
View attachment 2584030
🤣🤣🤣 ulikuaa unamuota Anaconda?[emoji23][emoji23][emoji23] Hii movie ilinitesa nilikua nashindwa kulala. Akili za kitoto ni shida.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa kazeeka siku iziMwamba huyo hapo,
Muvi Bora ya wakati woteeMwamba huyo hapo,
😂😂😄😄🤓🤓🥴🤚[emoji23][emoji23][emoji23] Hii movie ilinitesa nilikua nashindwa kulala. Akili za kitoto ni shida.
Sent using Jamii Forums mobile app
NimeikumbukaaKuna The New big boss Donnie mke wake anakatwa kichwa humo ndani hamna story ni mkono tu mwanzo mwisho[emoji1787][emoji1787]jambazi anavaa mnyororo mkononi
Hii movie yake moja inahusu test tube sijui chemical gani zileMnamkumbuka Frank Zagarino?
Hatari sana aisee kule kati kilinuka balaaLile jamaa lililomkata kichwa mke wake alilitoboa macho kule korongoni
Yaan nilikua nikienda kulala ni mshike mshike hata shuka likinigusa nahisi jamaa huyu hapa [emoji23][emoji23][emoji23] utoto tabu sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ulikuaa unamuota Anaconda?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji851][emoji851][emoji3061][emoji1672]
Drive[emoji91][emoji91][emoji91] unyama ulikua mwingi sana.View attachment 2583319
Hii ni Moja ya muvi Bora za wakati wote...
Mark Dacascos alitembeza mkono kwenye hii muvi mwanzo mwisho....
Huyo Rasta fundi gereji muoga muoga....
Ni Moja ya ubunifu Bora kabisa kuwai kutokea kwenye tasnia ya muvi za ki mapigano...
Hii muvi inakukumbusha nini?
Utoto ni shida 🤣🤣🤣 zile za nyonya damu ulikuwa unangalia?Yaan nilikua nikienda kulala ni mshike mshike hata shuka likinigusa nahisi jamaa huyu hapa [emoji23][emoji23][emoji23] utoto tabu sana
Sent using Jamii Forums mobile
[emoji2][emoji2] Kama Wrong turn? Zile hadi leo hapana zinanishtua sana.Utoto ni shida [emoji1787][emoji1787][emoji1787] zile za nyonya damu ulikuwa unangalia?
Mzaha sanaa🤓Drive[emoji91][emoji91][emoji91] unyama ulikua mwingi sana.
Sema rasta alikua mzaha sana
Msyuka[emoji2][emoji2] Kama Wrong turn? Zile hadi leo hapana zinanishtua sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zilikua powàa
[emoji23][emoji23][emoji23] hii nayo ilikua inanitisha. Siku hizi huwa naichek nabaki kucheka.Msyuka