Mark Dacascos mkali wa muvi ya Drive

Mark Dacascos mkali wa muvi ya Drive

IMG_0269.jpg
 
MSAADA.

Dah, leo itakua nimetua kwenye eneo sahihi. Kuna movie (nahisi ni ya miaka ya 80/90) naitafuta jina lake na sikuwahi kuiona yote zaidi ya vipande vidogo vilivyoonyesha wana wakicheza american football ila ghafla mwamba mmoja aliekuwa mchezaji akatoa pistol na kuanza kushoot wenzake.

NB: niliona mablack wengi kwenye hivyo vipande kadhaa nilivyotizama.
 
google imeniambia ni hii

na shooter ni Billy Blanks
 
Umekumbusha hii movie nimeiona kitambo Sana... Karibia Miaka 20 iliyopita.... Ila kuna kipande kile rasta aliniangusha wakati anaitwa na yule mwanamke pale club ili akale mbususu[emoji23][emoji23][emoji23]... Yule demu alimkubali Sana Yule rasta....
Rasta mshamba mshamba haahaa....maadili sana yule mwamba....

Ule muda wamepigwa pingu na mark...
🤓
 
Back
Top Bottom