Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Robert Patrick ni balaa [emoji23]Terminator 2 , judgement day ndo terminator Kali ya mda wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Robert Patrick ni balaa [emoji23]Terminator 2 , judgement day ndo terminator Kali ya mda wote
Alikuta jamaa kichakani wanavuta bangi, akaomba wakampa alipovuta alicheka sana mpaka ndege mitini wakaanza kukimbiaKuna muvi za SOLO
Jamaa mmoja Robot alaf kipara...
Muvi ya fish fishSiisahau hii
Mtoto ndo anachomwa moto mbele ya dingi ake, kumbe kile kitoto kilikuwa kijanja kikajifukia chini, Dah Those back daysKuna ile mzee anachomwa moto mbele ya mtoto wake kumbe kajifukia chini. Adui anapigwa risasi ya jicho heka heka mwanzo mwisho[emoji1787][emoji1787]. Kwanza kuna muda starring ni kama alishonwa usoni bila ganzi yaani movie full visanga tu.
Kuna movie ya Solo pia mshikaji ana Bonge ParaaaKipindi hiko sisi wa uswazi hatujui title za muvi tunaita tunavoweza
1 Komando kipensi
2 Rambo
3 deta fosi
3 Anodi na jini
4 paranawe
5 sale poo
6 no titi no salenda
Umenikumbusha mbali sana[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna muvi za SOLO
Jamaa mmoja Robot alaf kipara...
Hahahaaa ungekuwa meja kitombi na hawa jamaa wako vizuri kwenye uchakatajiNinge fail sana, waliongia wenzagu wengi ni ma meja, captain wawili ni ma LT .. huenda ningekuwa moja ya hayo nakundi kivyeo.. sema ningekuwa kitombi sanaa
Kuna Enter the Dragon, The Big Boss na Fist of Fury ni movies zake bora za wakati wotePia
Bruce lee
Alikua na muvi nzuri 🔥
Cc Death Raw
😅😅 tunawasifu ila hamna kitu, mbona nawakazia sana kazi zao.. alafu zinanielewa kuliko wao , tena kuna mmoja alikuwa anasafiri kuifata mbaaali kabisa..Hahahaaa ungekuwa meja kitombi na hawa jamaa wako vizuri kwenye uchakataji
Ewaaaaa umepatia Tobi na MalikiTobi na Maliki[emoji28][emoji28] kitambo sana Mia Mia zmeenda sana enzi izo Wakishua hawawezi elewa
Hahaa🤣🤣🤣 wewe jamaa una hatari sana unamkaza mke wa mjeda mpaka anasafiri kuifuata de libolo. Hivi hawa jama huwa wanafeligi wapi maana wanagongewa sana aisee 🤔😅😅 tunawasifu ila hamna kitu, mbona nawakazia sana kazi zao.. alafu zinanielewa kuliko wao , tena kuna mmoja alikuwa anasafiri kuifata mbaaali kabisa..
Life is too shortMara kuzeeka now, umri umeshaenda
ana ile anaweka mkono wa kushoto sakafuni alaf anakupiga teke la kushoto kisha la kulia haraka haraka, tam sanaLeo ndio nimegundua kuwa mark dacascos Yuko kweNYE JOHN WICK chapter 3
Blood in the moon😂🤣😂Jamaa alikua yupo vzr sanaa....
Unakumbuka Ile movie ya yule jamaa alikua na vidole viwili vya chumaa...
Akawatafuta
Mabigwa wotee wa ndondi akawaua...