Mark Dacascos mkali wa muvi ya Drive

Mark Dacascos mkali wa muvi ya Drive

Ila movie za Steven seagal sometimes hua Ni changamoto Sana, mwamba hua hapigwi ye anabonda tu.

Hard to kill naikubali.

Movie zake za miaka hii Ni za kijinga,low budget films na ujinga mwingi.

Actors wa zamani wote kwa sasa wanaigiza movie zenye bajeti ndogo, hazina mvuto...

Bruce Wills ndio anaongoza na mimovies kibao jau tu...
 
Wakali kuna movie moja ya watoto wa mitaani wapo ktk kituo kinasimamiwa na masista. Wanajaribu kutoroka mara nyingi kwa sababu ya mateso wanashindwa. Mwishoni kabisaa wanafanikiwa.
Hii movie ilioneshwaga Channel 5 kipindi inaanza Anza kama sikosei. Jina lake sijui inaitwaje ile?
Hii movie siijui,lkn kipindi hicho nadhani channel 5 nakumbuka walikua wanaonyesha movie siku ya J2 usiku.

Kuna movie waliwahi kuionyesha channel 5,jamaa mwishoni walipigana afu Kuna jamaa akawa ameificha bastola ndani ya tumbo(yaani kwny utumbo huko). Sikumbuki jina la hio movie.
 
Yaap, teknolojia ilikuwa hafifu, computer na TV zile za migongo mikubwa, No laptops, mobile phone hakuna zaidi ya radio call

Pia picture hazikuwa clear sana inaeleweka na movie karibu zote zilikuwa na Idea zinazofanana katika kuanza na zinavyoisha...

Starring anaua majambazi wote kwa bunduki na mabom then anamuua Mkuu wao kwa mkono then Polisi ndio wanakuja na magari yao na ving'ora wakati Mwamba ashawamaliza Majambazi yote [emoji39]
Napendelea hizi kuliko huu utopolo wa Netflix na Amazon
 
Billy Blanks...mwamba kabisa huyu hapa
6B976961-21B5-4ACE-9D7F-2717F186CF75.jpeg
 
Back
Top Bottom