Kwetunikwetu
JF-Expert Member
- Dec 23, 2007
- 1,535
- 412
Mkuu tuwekee picha....then mambo mengine baadae! Wanunuzi wanajulikana...sio maneno mengi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umesema ni gari ya mwaka gani vile, na user alikuwa anaitumia kwa matumizi gani (tax au personal) na imelipiwa ushuru wote au iko kwenye exemption list, if u dont mind weka full details kaka.
Gari ni ya mwaka 1992, imetembea km 170,000. Ilikuwa inatumiwa kwa matumizi binafsi na imelipiwa ushuru wote.
Habarini za asubuhi asubuhi Kwetu ni kwetu na wana JF wote,
Pichani ndio gari inayouzwa.
hihihihihihihihhihihihi ndio tatizo la madalali.....picha yenyewe noma....]Duh mkuu hiyo picha utafikiri umepiga kwa kujificha.[/COLOR]....ndogo mno...pia tulitaka various view ie front view, side view, inside view etc
Halafu hiyo bei haijatulia.....ukiangalia mwaka wa gari na masafa iliyotembea....kwa bei hiyo havilingani.
Mi simo kwenye hili shindano........nimeamua kukubali yaishe
mkuu dalali.......hako kapicha mbona kadogo sana weka ionekane vizuri......pili lol 1992 kwa 170k km? hell noooHabarini za asubuhi asubuhi Kwetu ni kwetu na wana JF wote,
Pichani ndio gari inayouzwa.
Una option ya kusave na ku-enlarge picha kadiri utakavyo.
We Fidel, hicho chombo si cha mbagala wala Sinza... mbona unakishushia hadhi? Kiangalie vizuri
Mkuu hii si mark 2 yakawaida tu au nimekosea?
Hii ilitakiwa bei ianzie 4mil na nikiongea hapo utafika kwenye 3 na ushee nakamata mzigo.
Hata hivyo ikitokea umepata tip ya kuwepo kwa mark2 GR (4 cylinder) iliyo katika hali km hii or even chini kidogo na inakwenda kwa tatu na nusu pse nishtue mtu wangu.
Binafsi nisingeiacha km angenikubalia kwa tatu na nusu. Hata hivyo ikitokea umepata tip ya kuwepo kwa mark2 GR (4 cylinder) iliyo katika hali km hii or even chini kidogo na inakwenda kwa tatu na nusu pse nishtue mtu wangu.
Kumbe best hata wewe umeona concern yetu......mshauri jamaa yako apunguze kidogo. Truly ingekuwa inaanzia tatu na ushee hivi tungeshakutwangia tangu asubuhi
Umekosea fidel! waulize watu wa magari bei ya mark II GR na baloon. Do that pse. Naona kilichojuu unakiweka chini na kukipanadisha kilicho chini.