MARK II GR INAUZWA (4 cylinder)

Sina uzoefu na hiyo fidel. I just have friends wanaomiliki Hice. Unless if you can give me some time to ask.
 

Ok nimekupata mkuu......ila unajua yadi dsm zimejaa kibao...bei za huko au za kwenye online tunazijua. Lakini tunaelewa pia kuwa kama ulivyosema awali hii imekuwa ni emergency hivyo hata bei yake hatuwezi kuifananisha na yadi kwani kule mtu unatakiwa umejiandaa. Pia mkuu hata ukichukua kitu kwenye yadi sasa hivi kwa 8.0 m ukifika tu nyumbani ukataka kukiuza lazima tukuvute mpaka 5.0 m....si ndio mambo yanavyokwenda mkuu
 

Usemacho ni sahihi. Lakini sidhani km tutakuwa tumetenda haki kumuumiza kwa sababu ana shida! Na hata mimi ningemwona anatumbukia pabaya kwa sababu ya shida zake nisingekuwa neutral...Najua siku zote kuwa the hottest place in hell is kept for those who stay neutral in a state of an emmergency. So, I just have to stay honest kwa nafsi yangu na kwa colleague in trouble especially colleague ambaye ameweka trust yake kwangu.
 

Poa mkuu tupo pamoja
 
hiyo gari ni ya mwaka gani na imetembea km ngapi, info tafadhari
 
Alafu mkuu nina Town Hiace nataka niiweke sokoni vp bei nianzie ngapi?
haha haa fidel ushamwamini bwire kama expert dalali? ndio raha ya JF hii, free consultation at the blink of an eye.
 
haha haa fidel ushamwamini bwire kama expert dalali? ndio raha ya JF hii, free consultation at the blink of an eye.

Oh, mi nilijua anauliza kwa Bwire, kumbe alikuwa anauliza kwa dalali....sikujua! You guys are real something! Kama ayasemayo kinyau ni kweli then you owe me an apology fidel... Nitake radhi ndugu yangu!
 
haha haa fidel ushamwamini bwire kama expert dalali? ndio raha ya JF hii, free consultation at the blink of an eye.

Hahahaha naona mtaalamu wa kuthaminisha na vile vile mshauri nasaha. Hapo hapo ane anavuta % yake.
 
kama unaitaka nunua habari za aliipataje si kazi yako, bwana bwire inauzwa bei gani?
 
Mil 5.5 na below ni picha yake. Maelezo yote yapo kwenye thread
 
Asilimia kubwa ya hiyo mifoleni unayoiona saa kumi na moja unapotoka kazini ni madeni tupu! Siku kibarua kikiota nyasi ndo yanageuka kuwa haya...

Si utani mkuu...
Hata atakayenuua hili gari,kumkomboa mshikaji naye atakopa tu....Lakini ndo maisha..huwezi kuendesha wala kujenga bila 'mpipa' wanaoweza ni mafisadi tu..
 
Habari wakuu,

Nimepokea simu km dk 15 zilizopita, mshikaji anasema yupo ready kuitoa kwa M - nne na laki tano. (I.e. 4.5 M) Ili mradi tuu ajinasue.

I think this is reasonable kwa mnunuaji anayemaanisha,mnasemaje...

Gud day kwa wana JF wote!
 
Habari wakuu,

Nimepokea simu km dk 15 zilizopita, mshikaji anasema yupo ready kuitoa kwa M - nne na laki tano. (I.e. 4.5 M) Ili mradi tuu ajinasue.

I think this is reasonable kwa mnunuaji anayemaanisha,mnasemaje...

Gud day kwa wana JF wote!

Check na Fidel alikuwa anabargain kwa bei hizo.....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…