faru john12
Member
- Dec 13, 2016
- 20
- 8
Wadau nataka kuongeza kagari kakupiga misele hapa mjini. Maana BIGHORN inanifilisi na wese lake na pia haiuziki. Nimeona MARK II - GANDE 1980 cc inavutia mwenye kuijua kwenye ulaji wa mafuta na spea vp?
Acha mbwembwe ww kwani wasukuma ndio waliotengeneza hizo noah? km vipi chukua bajaji haili mafuta inakula upepo tu.Au nitafute Noah wakuu, japo imekaa kisukuma sana!
No offense, wasukuma wanapenda sana Noah, ndo maana najiuliza kuliko nichukue gari hii ni bora hata niongeze hela nichukue gari yenye hadhi ya mkoa wa KAGERA, ambayo ni JEEP COMMANDER.Acha mbwembwe ww kwani wasukuma ndio waliotengeneza hizo noah? km vipi chukua bajaji haili mafuta inakula upepo tu.
Uwiiiii ishomileNo offense, wasukuma wanapenda sana Noah, ndo maana najiuliza kuliko nichukue gari hii ni bora hata niongeze hela nichukue gari yenye hadhi ya mkoa wa KAGERA, ambayo ni JEEP COMMANDER.
Hongera kakaSasa kama hutaki gari linywe mafuta unataka linywe uji
Hakuna engine ya 4S yenye cc 1980Yenye 1980cc ina mashine ya 4s