Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Wanakula bata mkuuDah,hivi hawa jamaa hizo pesa zote huwa wanazifanyia nini?
Kuna wakati miaka ya nyumba kidogo hisa za FB zilishuka hadi jamaa utajiri wake ukashuka hadi 40 billions USD akatoka Hadi top 10. Kina musk na Beezos wakawa wanamcheka.View attachment 3430742
Thamani ya utajiri wa Mark Zuckerberg, imepanda baada ya kuongezeka kwa hisa zake ambazo zimemfanya kuingiza Dola Bilioni 26 sawa na Trilioni 65 kwa siku moja (Saa 24).
Unaambiwa mapato hayo makubwa ndani ya saa 24 yametokana na 'Meta Q2' kuongezeka kwa zaidi ya Asilimia 12.
Mkwanja huo ulioingia umeongeza utajiri wake hadi kufikia Dola Bilioni 271 na kumfanya kuwa mtu wa tatu kwa utajiri duniani.
Wewe unaingia Tsh Ngapi kwa siku?
Huyu jamaa atakuja kuwa 1. Mitandao hajijawahi kumwangusha mtuKuna wakati miaka ya nyumba kidogo hisa za FB zilishuka hadi jamaa utajiri wake ukashuka hadi 40 billions USD akatoka Hadi top 10. Kina musk na Beezos wakawa wanamcheka.
Laiti ningejua 2014 hisa za FB zingepaa hivi ningezinunua za kutosha. Kwasababu wakati huo hisa mojo ya FB ilikuwa 19 USD.Hizo ndogo kutokana yeye huduma zake ni world wide na bila huduma zake hizo mambo hayaendi .
Ndo hivyo mkuuLaiti ningejua 2014 hisa za FB zingepaa hivi ningezinunua za kutosha. Kwasababu wakati huo hiss mojo ya FB ilikuwa 19 USD.
Kuna huyu mwanzilishi wa PayPal anajuta kuuza hisa zake za FB Kwa 400 m USD. Angevumilia hadi Leo hisa zake zingekuwa na thamani ya zaidi ya 15 billions USD. Licha yeye ni billionaire bali anajuta akidai amefanya kosa la maisha Katika uwekezaji. Ni watu wa mwanzo walionunua hisa za FB/ meta.Ndo hivyo mkuu
Technology pays wazeeView attachment 3430742
Thamani ya utajiri wa Mark Zuckerberg, imepanda baada ya kuongezeka kwa hisa zake ambazo zimemfanya kuingiza Dola Bilioni 26 sawa na Trilioni 65 kwa siku moja (Saa 24).
Unaambiwa mapato hayo makubwa ndani ya saa 24 yametokana na 'Meta Q2' kuongezeka kwa zaidi ya Asilimia 12.
Mkwanja huo ulioingia umeongeza utajiri wake hadi kufikia Dola Bilioni 271 na kumfanya kuwa mtu wa tatu kwa utajiri duniani.
Wewe unaingia Tsh Ngapi kwa siku?
Ila Mark kavumilia kapitia ups and downs sana kuimarisha kampuni Yake. Alipoinunua Instagram na WhatsApp wachumi walimdhihaki hata walimshauri atajuta kutoa 19 billions USD kununua WhatsApp. Aliwaaproach Yahoo kwa dau la 40 billions USD yahoo wakampiga Chini. Yahoo anajutia sasa hivi kwanini hakukubali kwasababu thamani yake imeshuka hata haizidi 15 billions.Technology pays wazee
Wahtsap saivi imeanza kuingiza pesa kupitia verification ,Ila Mark kavumilia kapitia ups and downs sana kuimarisha kampuni Yake. Alipoinunua Instagram na WhatsApp wachumi walimdhihaki hata walimshauri atajuta kutoa 19 billions USD kununua WhatsApp. Aliwaaproach Yahoo kwa dau la 40 billions USD yahoo wakampiga Chini. Yahoo anajutia sasa hivi kwanini hakukubali kwasababu thamani yake imeshuka hata haizidi 15 billions.
Hizo ndogo?Hizo ndogo kutokana yeye huduma zake ni world wide na bila huduma zake hizo mambo hayaendi .
Ila najiuliza kwanini marks kakataa kuruhusu matangazo advertesemts WhatsApp jamaa kagoma kabisa. Na akiruhusu Tu atakuwa tajiri namba moja duniani na atampita kwa mbali ElonWahtsap saivi imeanza kuingiza pesa kupitia verification ,
Wanakuletea misaada kwa ajili ya kujenga matundu ya vyoo.Dah,hivi hawa jamaa hizo pesa zote huwa wanazifanyia nini?
Mkuu hata sisi tungekuwa na nidhamu ya matumizi ya pesa kudhibiti mianya ya ufisadi rushwa na ubadhirifu tungekuwa matajiri na maisha mazuri.Mbongo unaingiza ngapi😂