Mark Zuckerberg aingiza Trilion 65 kwa Siku

Bajeti yetu ni trilioni 45! Kwa mwaka!

Yaani, mtu mmoja anaweza kutulisha na kulipia kila kitu! Halafu sisi tuendelee kukesha makanisani, kuimba mapambio. Halafu ibada ikiisha, tunagombania daladala kurudi kwetu β€” Mbagala, Bunju. Wachungaji wetu wanaingia kwenye ma-V8 yao… haooo, mdogo mdogo! Wanarudi kwenye mijengo yao β€” Ununio, Mbezi, Boko, nk!

Zuckerberg hakubatiza watoto, asali, jumuiya. Hatoi fungu la kumi (anatoa zaidi kwa waja wa Mungu kwa ajira anazotengeneza).
 
Matajiri wakubwa kwa sasa wanamiliki teknolijia.

Means they can work anywhere na hawapo limited na muda au nguvu .

Just ask to you how you gonna be richest ikiwa una muda maalumu wa kuingiza hela na muda wa kwenda kazini na kurudi.
 
Sisi hicho kidoogo tunachoingiza taifa zima kinaliwa na akina Rostam na wahuni wenzake akina Kikwete
 
Ukipunguza inshu za imamu Hussein bas ujue wewe siyo rafiki yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…