OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Wewe ndio mjingaKutetea ule ujinga wa kudanganya oil na mapapai yalionekana na corona, kikombe cha Madagascar, au maombi kutibu corona, nao ni ujinga daraja la juu zaidi.
Ugonjwa ulikuwa mpya hapakuwa na dawa maalumu mkuu
Kuwaperekea sample wapimaji kwa kuwapima hata ww unaweza kuwapima
Mbona hata vyuoni inafanyika mkuu, unaletewa damu hujui ni ya kiumbe gani unaambiwa uipime useme ulichoona
Tatizo mnatanguliza siasa