Wewe ndio mjinga
Ugonjwa ulikuwa mpya hapakuwa na dawa maalumu mkuu
Kuwaperekea sample wapimaji kwa kuwapima hata ww unaweza kuwapima
Mbona hata vyuoni inafanyika mkuu, unaletewa damu hujui ni ya kiumbe gani unaambiwa uipime useme ulichoona
Tatizo mnatanguliza siasa