stritglow
JF-Expert Member
- Apr 7, 2018
- 622
- 1,750
Mitihani ni part and parcel of the education system, kuanzia ngazi ya kindergarten mpaka chuo. Kiufupi haikwepeki.
So katika maisha yako ni marks gani ya chini kabisa ulishawai pata kwenye mtihani(iwe quiz, test au exam). Ilikuwa somo gani na level gani, yaani primary, secondary au chuo...