jombi95
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 1,408
- 2,184
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilishawi kuingia test ya physics nikaona pepa halieleweki nikaandika jina la kike...
nilikuja kupata 39..nilikuja kujulikana kwa mwandiko maana mwalimu ananijua vizuri.
pole engineerdah asee mar ya kwanz advance nilipata zero test ya physics asee nilivipokea tu ule mtihan pale pale nikaend choon kuutupa, ila baadae ten chuo test nikapat zero dah [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
17 ya BAM sio mchezo mchezooooMitihani ni part and parcel of the education system, kuanzia ngazi ya kindergarten mpaka chuo. Kiufupi haikwepeki.
So katika maisha yako ni marks gani ya chini kabisa ulishawai pata kwenye mtihani(iwe quiz, test au exam). Ilikuwa somo gani na level gani, yaani primary, secondary au chuo...