99.Mitihani ni part and parcel of the education system, kuanzia ngazi ya kindergarten mpaka chuo. Kiufupi haikwepeki.
So katika maisha yako ni marks gani ya chini kabisa ulishawai pata kwenye mtihani(iwe quiz, test au exam). Ilikuwa somo gani na level gani, yaani primary, secondary au chuo...
Jina gani uliandika?nilishawi kuingia test ya physics nikaona pepa halieleweki nikaandika jina la kike...
nilikuja kupata 39..nilikuja kujulikana kwa mwandiko maana mwalimu ananijua vizuri.
Berylinn Poshani.Jina gani uliandika?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]nilishawi kuingia test ya physics nikaona pepa halieleweki nikaandika jina la kike...
nilikuja kupata 39..nilikuja kujulikana kwa mwandiko maana mwalimu ananijua vizuri.
unacheka nini wewe au ndiyo yule mwalimu?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ulikimbia kivuli chako eeeh!unacheka nini wewe au ndiyo yule mwalimu?
yaani unapata 5 out of 10 unalia kweli wewe ulikuwa kipanga.Naona wanaojibu hapa ni watu wa Sayansi tu....
Mimi mwandiko la Kwanza A, nilipata 5/10 ....nililia sana siku ile...
dah asee mar ya kwanz advance nilipata zero test ya physics asee nilivipokea tu ule mtihan pale pale nikaend choon kuutupa, ila baadae ten chuo test nikapat zero dah [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
sipendi kuaibika mimi...wewe unapenda?Ulikimbia kivuli chako eeeh!