Marks ya chini kabisa ambayo ulishawai pata kwenye mtihani ni ngapi

toka nilivyoanza sec hadi namaliza shule maths sijawahi kupata zaidi ya 10%% nikipata ata 3 za chabo mda mwingine free marks zilikua zinanisaidia sana
 
Kuna siku sitoisahau teacher wa geog aligawa peper za wanafunzi wote class yangu ikawa ya mwisho mwisho
Akanambia
"Lucas you are lazy bastard" mbele ya crash nili mmind mno nikamfata ofisini nikamchana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesoma shule za kidosi...
Mwalimu alikuwa anaogopa kukupa mikasi, angeweza ku corrupt mind yako mapema sana.
 
Form 3 maths nilipata 18. Nilifanya mtihani huku naumwa tetekuwanga, teacher wakati anapita pita kukagua akanikuta nikatolewa nje hapo hapo mpaka nilivyopona ndo nikarudi shule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…