Marks ya chini kabisa ambayo ulishawai pata kwenye mtihani ni ngapi

nilishawi kuingia test ya physics nikaona pepa halieleweki nikaandika jina la kike...

nilikuja kupata 39..nilikuja kujulikana kwa mwandiko maana mwalimu ananijua vizuri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 zero sifuri mviringo, kuna somo wakati nipo form 1 linaitwa additional mathematics, Ile nmetoka kuoga na washkaji zangu wawili tukaona monitor anagawa mitihani, nlipewa mitihani Wangu kwakweli nlisononeka, mviringo ule sikuwatendea haki wazazi wangu waliokua wanalipa ada ndefu ili mtoto wao nisome bila bugudha, anyway imebaki stori form 4 nlipita fresh nkatoboa fresh form 6 eca, kwa sasa nna degree ya uhasibu na Cpa
 
Mm nakumbuka nilikuwa na mfundisha bakhresa lkn now ananifundish maan ya pesa
 
17 ya BAM sio mchezo mchezoooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…