Markuba Majanaba Hana hamu na jela

Markuba Majanaba Hana hamu na jela

Labda ukiwa mlafi unapenda vitu vizuri otherwise kuna heshima ....na kusaidiana sana......uwe na hela kdg utaishi vzr.....
 
Amelegea sana huyo
Mwamba alifanya soo kitaa akapelekwa jela KISONGO wakampiga para. Hana hamu na jela Tena.

NB: jela haina mbabe kama wahuni wametambaa na mwamba Sura ya kazi sembuse vijana wanaoshinda kwenye AC wanaendesha Dualis sijui IST?

NB: Tii sheria bila shuruti.
View attachment 2783305
Acheni kumzushia huyu Dogo uongo

Dogo alipelekwa Polisi kwa kosa la kumlenga Mtu na jiwe by mistake na akamdhuru...kesi iliendeshwa na kabla ya kufungwa Madam Ritha na yule Msela mwingine wa Arusha FIDO VATO wakachanga hela na kumtoa palepale

Kama anatangaza mambo ya jela anatafuta tu kiki
 
Back
Top Bottom