Marlaw afunga ndoa na Besta

Kila la heri wapendwa.
Mungu awajalie, ndoa yenye baraka, upendo na Amani siku zote za maisha yenu.
 

Mkuu unawashangaa kwa kazi nzuri sio?
 
Atafugika sababu yeye si kunguru. Kajamaa katafaidi huo mzigo kinoma
 
Samahani sana Wajamani.

Mie huyu jamaa huwa namkumbuka kwa wimbo huu tu hapa chini.....

Sidhani kama ntakuwa FAN wake tena..............

Nina imani WATAMCHAKACHUA na yeye ili awajue CCM ni nini......


Mkuu kumbe wewe maisha yako yanalalia kwenye chama mtu kama si chadema huingei nae, duka ukichua si la mwana chadema hununui vitu n.k
Bora ukaishi zanzibar au somalia
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kumbe wewe maisha yako yanalalia kwenye chama mtu kama si chadema huingei nae, duka ukichua si la mwana chadema hununui vitu n.k
Bora ukaishi zanzibar au somalia

taratibu zanzibar tumestaarabika, tunaishi vizuri na kuelewena kwa sasa hayo mambo wawaulize chadema huko tarime na arusha
 
Kuna mtu mmoja humu JF namlaumu daima kwa kunibania huyu totozi back then.....poa tu
Hahah huyu totoz nilimtongozaga few years ago kabla hajaanza kuwa mwana bongo fleva jibu alilonipa nikaingia mitini..

Wishing her all the best kwenye maisha yake mapya ya ndoa.
 
Muachieni kijana akafaidi.

 
Last edited by a moderator:
Jamaa aliniboa sana kipindi cha uchaguzi......anyway God be with u,Congratulation is another step ahead.......
 
Jamaa wa banjuka juu alie tu ndege huyooo tunduni
 
nawatakia maisha mema ya ndoa yenu
 
kila la heri ndugu zangu. mkiweza kuiga mfano wa jide na g habbash itawasaidia sana. ili msiige ya mwisho na ray c.
 
hongereni sana mungu awabariki na kuwasaidia sana
 
Me i like them jamani, they make a nice kapo. Wanapendeza.
 
Twawatakia maisha mema ya ndoa,siri kubwa ni kusameheana na kuvumiliana.
 
dizayn kama dem ni mkubwa kiumri.......!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…