Marlaw arudi kwa kishindo; Sikiliza sauti tamu ya Marlaw kwenye wimbo 'Taa'

Marlaw arudi kwa kishindo; Sikiliza sauti tamu ya Marlaw kwenye wimbo 'Taa'

Ukioa demu kama yule lazima usahau na kuacha kila kitu ubaki tu nyumbani unamlinda!!
Demu anachoo yule na jicho la mkonyezo kwahiyo mkuu unataka niamini kila mwanaume aliye fanikiwa kuna mwanamke shupavu nyuma yake kwa jamaa ikawa kinyume chake.
 
Marlaw mwenye sauti yako

Wimbo wa Rita jamani[emoji24][emoji24]
 
Baby, ulikuwa wapi lakini? Leo hii nilikuwa nafikiria kukufuata kwako
Ni upside down za hapa na pale baby wangu, na ndizo zinanifanya niingie JF mara chache sana, na wakati mwingine kutoingia kabisa!! Sasa baby mbona hukuja basi
 
Ni upside down za hapa na pale baby wangu, na ndizo zinanifanya niingie JF mara chache sana, na wakati mwingine kutoingia kabisa!! Sasa baby mbona hukuja basi
Daah mwanang huyu Dem mnamfukuzia wangapi?
Kuna kibabu chenye pesa zake nacho kinalalama hapo juu kwanini hafungui Pm
 
Enzi za mstaafu alikua anakula bata,si unajua mstaafu alikua anamkubali sana?,sasahivi mambo yamekua kama ndala za gest.
Huyu jamaa sijui alipatwa na nini alipaa akazima ghafla yaani huyu ndio alikuaga ana trend kama diamond kipindi kile yani wadau kuna anaejua alipatwa na nini?
 
Back
Top Bottom