Marlaw, Mwanamuziki ninayemkubali sana: Nyimbo zake hizi mpya za ‘Taa’ na ‘Baraka’ ni hatari fire

Marlaw, Mwanamuziki ninayemkubali sana: Nyimbo zake hizi mpya za ‘Taa’ na ‘Baraka’ ni hatari fire

Huyu msanii hadi cassette zake tumekwishachoma kwani bado yupo kwenye game

Nakumbuka mbayuwayu tu
 
Wacha tungoje kichupa kama nilivongoja taa, Tatizo Taa nilikua na idea yangu kichwani ya kichupa sasa imekuja tofauti nimekua disillusioned. Pia Directoe anaitwa somebody Musiba atakua amechangia kuharibu kichupa huyu

Kichupa cha Taa, kimekuwa kawaida kweli. Mie mwenyewe nikuwa nawaza tofauti kabisa na kilivyo toka 😅😅. Ngoja tuone kwanza hii Baraka
 
Huyu msanii hadi cassette zake tumekwishachoma kwani bado yupo kwenye game

Nakumbuka mbayuwayu tu

Ndio amerudi tena hivyo, anasema alikuwa anajipanga na mkewe kwanza na sasa amerudi. Ndio katoa hizo nyimbo mbili hapo, zipo njema mno
 
Back
Top Bottom