Galapagosi JF-Expert Member Joined Apr 21, 2017 Posts 2,848 Reaction score 2,637 Sep 29, 2019 #21 Huyu msanii hadi cassette zake tumekwishachoma kwani bado yupo kwenye game Nakumbuka mbayuwayu tu
beth JF-Expert Member Joined Aug 19, 2012 Posts 3,880 Reaction score 6,368 Sep 29, 2019 Thread starter #22 Public Enemy said: Wacha tungoje kichupa kama nilivongoja taa, Tatizo Taa nilikua na idea yangu kichwani ya kichupa sasa imekuja tofauti nimekua disillusioned. Pia Directoe anaitwa somebody Musiba atakua amechangia kuharibu kichupa huyu Click to expand... Kichupa cha Taa, kimekuwa kawaida kweli. Mie mwenyewe nikuwa nawaza tofauti kabisa na kilivyo toka 😅😅. Ngoja tuone kwanza hii Baraka
Public Enemy said: Wacha tungoje kichupa kama nilivongoja taa, Tatizo Taa nilikua na idea yangu kichwani ya kichupa sasa imekuja tofauti nimekua disillusioned. Pia Directoe anaitwa somebody Musiba atakua amechangia kuharibu kichupa huyu Click to expand... Kichupa cha Taa, kimekuwa kawaida kweli. Mie mwenyewe nikuwa nawaza tofauti kabisa na kilivyo toka 😅😅. Ngoja tuone kwanza hii Baraka
beth JF-Expert Member Joined Aug 19, 2012 Posts 3,880 Reaction score 6,368 Sep 29, 2019 Thread starter #23 Galapagosi said: Huyu msanii hadi cassette zake tumekwishachoma kwani bado yupo kwenye game Nakumbuka mbayuwayu tu Click to expand... Ndio amerudi tena hivyo, anasema alikuwa anajipanga na mkewe kwanza na sasa amerudi. Ndio katoa hizo nyimbo mbili hapo, zipo njema mno
Galapagosi said: Huyu msanii hadi cassette zake tumekwishachoma kwani bado yupo kwenye game Nakumbuka mbayuwayu tu Click to expand... Ndio amerudi tena hivyo, anasema alikuwa anajipanga na mkewe kwanza na sasa amerudi. Ndio katoa hizo nyimbo mbili hapo, zipo njema mno
Statesmann JF-Expert Member Joined Jul 16, 2019 Posts 2,344 Reaction score 3,461 Sep 29, 2019 #24 Safi
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Sep 29, 2019 #25 Yupo vizuri... Cc: mahondaw