MARLAW mzee wa kiduku aachia website ya ukweli sana

Dogo angeweza kuwa na future nzuri lakini aliharibu pale alivyoanza kujiassociate na politcs kwenye kwenye kile kipindi cha kampeni. Music should create and foster community by speaking to people's needs, hopes, fears, and intimate lives but not certain political parties or politicians.
Sidhani kama kilichomtoa kwenye game ni siasa! Unajua muda mfupi baada ya uchaguzi mkuu; Marlaw alifunga ndoa na Besta na baada ya hapo; wote wawili; Marlaw na Besta hawakusikika tena kwenye game! Nadhani waliamua kutulia kwenye ndoa badala ya kuwa kwenye ndoa na hapo hapo kuwa kwenye muziki... in short; walitaka kuwa off-radar for the sake of their marriage!
 
Right.
 
Website pia ya zamani na haipatikani yaani kwa kifupi haipo
.
d7707d3662fe7efe591010d4d2cb4135.jpg
 
MARLAW mzee wa pii pii ameachia website ya ukweli sana ambayo sijawahi kuona toka kwa msanii yoyote hapa bongo mwenye website kali na ya ukweli kama hiyo.

muziki unasikika clear sana, na website imepangiliwa kiukweli sana na inavutia.

huo ni mwendo mzuri wa kijana Marlaw ambapo na wasanii wengine wakifuata nyayo zake hope bongo ikatoka zaidi kimuziki.

website hiyo inapatikana kwa: http://marlawmusic.com/ na Facebook page yake ni http://www.facebook.com/MarlawMusic

haya angalieni wenyewe muone maendeleo ya bongo
vip bado ipo
 
Dogo angeweza kuwa na future nzuri lakini aliharibu pale alivyoanza kujiassociate na politcs kwenye kwenye kile kipindi cha kampeni. Music should create and foster community by speaking to people's needs, hopes, fears, and intimate lives but not certain political parties or politicians.
Fursa mkuu
 
Back
Top Bottom