Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Mtandao wa X/Twitter umeshuhudia kuanguka kwa idadi ya maroboti (bots) ya mtandaoni huko Marekani na Ulaya baada ya Ukraine kushambulia na kuziondoa katika matumizi data centers tatu kubwa zaidi za kampuni ya Yandex huko Russia.
Wamarekani na Raia wengi wa Ulaya wamekiri kupungua kwa zaidi ya 90% ya posti zinazoandika ujinga, zinazochochea chuki na kuvuruga mijadala mitandaoni baada ya Ukraine kupiga kwa drones data centers hizo za Russia.
Vyama vya mrengo wa kulia mkali vya Republicans Marekani na Afd Ujerumani vimeongoza katika kupoteza zaidi bots ambazo huwa zinajifungamanisha nazo. Zelensky amepewa sifa kwa shambulio Hilo ambalo linaonekana kuwa la faida zaidi kwa Democrats wakielekea katika uchaguzi wa November.